[Chorus] Nenda kamwambie Jinsi navyo mpenda mi Na kama mapenzi bado Mwambie ntayaongeza mi Nasema kamwambie Jinsi navyo mpenda mi Na kama mapenzi bado Mwambie ntayaongeza mi
[Verse 1]
Sio ningie mori, nyota, na mbala mwezi Kwa vile mali yake yeye Natamani la tatizo siwezi Uenda ingefanya nielewe Si alinifunza mapenzi, nilikuwa sijui kamwambie Akianidekeza kishenzi, kwa nyimbo nzuri nimwimbie So asidanganywe na gari burudani na fedha, mimi akanichukia Akalishusa tamani penzi nalompenda, kisa mvinyo na bia Asidanganywe na gari burudani na fedha, mimi akanichukia Mmmh, mwambie asisikie mapenzi, moyo wangu unaumia, eeh
[Repeat Chorus]
[Verse 2]
Nasema siku hizi hakuna fungate, mapenzi hyana tamani Hivyo mwambie wanaopenda wachache, wengi watamani Uuuh, wanaanzaga kwa tafadhali, wakishapewa wanapotea Mmh, nenda mwambie ajihadhari, na dua njema nawombea So asidanganywe na gari burudani na fedha, mimi akanichukia Akalishusa tamani penzi nalompenda, kisa mvinyo na bia Asidanganywe na gari burudani na fedha, mimi akanichukia Mmmh, mwambie asisikie mapenzi, moyo wangu unaumia, eeh Akamwambie (8x) Repeat Chorus till fade Yeah, I was being around, but thanks, Bob Junior Mr Chocolate Flava, now I am here Sharoboo records It's Diamond Platinumz baby
êtes-vous sûr de vouloir supprimer ce commentaire?
Supprimer le commentaire
êtes-vous sûr de vouloir supprimer ce commentaire?
Supprimer votre post
Es-tu sur de vouloir supprimer cette annonce?
La chanson a été partagée avec succès sur votre timeline.
Achat requis
Pour continuer à écouter cette piste, vous devez acheter la chanson.
Piste d'âge restreint
Ce titre est réservé aux moins de 18 ans., Créez un compte ou connectez-vous pour confirmer votre âge.
Créer un avis de DMCA
Le rapport de commentaire a été supprimé avec succès.
Signaler un commentaire
Le rapport de commentaire a été supprimé avec succès.
Signaler un commentaire.
Le rapport de suivi a été supprimé avec succès.
Rapport de piste.
Le rapport de suivi a été supprimé avec succès.
Piste de révision.
Choisissez une méthode de paiement
Choisissez une méthode de paiement
Virement
Garanti Bank
4796824372433055
Account number / IBAN
Antoian Kordiyal
Account name
TGBATRISXXX
Routing code
United States
Country
In order to confirm the bank transfer, you will need to upload a receipt or take a screenshot of your transfer within 1 day from your payment date. If a bank transfer is made but no receipt is uploaded within this period, your order will be cancelled. We will verify and confirm your receipt within 3 working days from the date you upload it.
Télécharger le reçu
La session a expiré
Votre session a expiré, veuillez vous reconnecter.
Un message de confirmation et un email ont été envoyés.