Me niliambiwa mapenzi ni kama bahari, ukishazama ndo basi umepotea, kumbe mwenzangu alikuwa na ta..., badala ya kuzama me kwangu akaelea, akawa ananidanganya nikiwa nadhani ananipenda sana, mikwanja nikamwaga mama, japo sio kivile ......., akawa ananidanganya nikiwa nadhani ananipenda sana, mbona mifedha nikamwaga mama,japo sio kivile ......., wakaja wajinga wakamchukua, wakamhonga honga mwisho wakamnunua, wajinga wakamchukua, wakamhonga honga mwisho wakamnunua ayayayayaaaa
Usinione nalia usinione nalia mwenzenu nalia na mengi, Usinione nalia nalia sababu ya mapenzi mwenzenu nalia nalia nalia na mengi, uuuhhhh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi Najua alimaanisha kuwa simfai ila lakini angesema, kuliko alichofanya me akantoa nishai akanimeza akanitema nyie mapenzi yanauma vibaya vibaya vibaya, mmmmhhhhh mapenzi yanauma vibaya vibaya vibaya .... safari ndo inanifanya mi usingizi sipati, huwa nakumbuka mbali hasa nikisikia harufu yake ya marashi me kwa uchungu nilivyoumia katika hili songi...... nalia, nafuu ..... kwa hisia naimani iko siku nyimbo itamfikia me kwa uchungu nilivyoumia mie katika songi...... nalia, nafuu ..... kwa hisia naima ni iko siku nyimbo itamfikia ayayayaaaa
Usinione nalia usinione nalia mwenzenu nalia na mengi, Usinione nalia nalia sababu ya mapenzi
mwenzenu nalia nalia nalia na mengi, uuuhhhh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi
[Chid Benz]
Usione nakosa raha mama nalalama kwako mara kadhaa, we ni msaada kwenye tuta so ukichomoka balaa sijiwezi kwangu giza naweza kimbiza na hii taa, na hilo unajua inavyoumiza ushashuhudia mara kadhaa ....wezi wakung'ang'anie ninung'unike nilie, njia yetu moja niache nipite si ukasimulie ...... ya kinyamwezi na swaga zako juu , na miguu napata picha kitandani kungfu uko juu ukipita lazima wasome namba, we ndo kibri fimbo kiboko ya midomo mamba
huu ndo mfano hata unajua neno pamba si ........ kwa kitambo ntakulinda kama mkinga mwenye shamba mikogo kila leo ntajigamba......kisela piga teke inauma usiombe mapenzi yakupige teke inauma, usiombe mapenzi yakupige teke eeeh bounce
[Diamond]
Usinione nalia usinione nalia mwenzenu nalia na mengi, Usinione nalia nalia sababu ya mapenzi mwenzenu nalia nalia nalia na mengi, uuuhhhh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi
Der Song wurde erfolgreich auf Ihrer Timeline geteilt.
Kauf erforderlich
Um diesen Titel weiter anzuhören, müssen Sie den Song kaufen.
Altersbeschränkte Spur
Dieser Titel ist für Zuschauer unter 18 Jahren altersbeschränkt, Erstellen Sie ein Konto oder melden Sie sich an, um Ihr Alter zu bestätigen.
Erstellen Sie eine DMCA-Benachrichtigung
Der Kommentarbericht wurde erfolgreich gelöscht.
Kommentar melden
Der Kommentarbericht wurde erfolgreich gelöscht.
Kommentar melden
Der Streckenbericht wurde erfolgreich gelöscht.
Bericht verfolgen
Der Streckenbericht wurde erfolgreich gelöscht.
Track überprüfen.
Wählen Sie eine Bezahlungsart
Wählen Sie eine Bezahlungsart
Banküberweisung
Garanti Bank
4796824372433055
Account number / IBAN
Antoian Kordiyal
Account name
TGBATRISXXX
Routing code
United States
Country
In order to confirm the bank transfer, you will need to upload a receipt or take a screenshot of your transfer within 1 day from your payment date. If a bank transfer is made but no receipt is uploaded within this period, your order will be cancelled. We will verify and confirm your receipt within 3 working days from the date you upload it.
Quittung hochladen
Sitzung abgelaufen
Ihre Sitzung ist abgelaufen, bitte melden Sie sich erneut an.
Eine Bestätigungsnachricht und eine E-Mail wurden gesendet.